Native Bible

1 Chronicles 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.

1 Chronicles 15:10 in English

1 Chronicles 15:10 · Berean Standard Bible

and from the Uzzielites, Amminadab the chief and 112 of his relatives.

Context

8Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200. 9Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake 80. 10Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112. 11Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu. 12Akawaambia, “Ninyi ndio viongozi wa jamaa za Walawi. Ninyi pamoja na Walawi wenzenu inawapasa mjitakase na kulipandisha Sanduku la Bwana, Mungu wa Israeli hadi mahali ambapo nimetengeneza kwa ajili yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.