Native Bible

1 Chronicles 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elikana, Ishia, Azareli, Yoezeri na Yashobeamu, wana wa Kora;

1 Chronicles 12:6 in English

1 Chronicles 12:6 · Berean Standard Bible

Elkanah, Isshiah, Azarel, Joezer, and Jashobeam, who were Korahites;

Context

4na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, ambaye alikuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi, Mgederathi, 5Eluzai, Yeremothi, Bealia, Shemaria, Shefatia, Mharufi; 6Elikana, Ishia, Azareli, Yoezeri na Yashobeamu, wana wa Kora; 7Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori. 8Baadhi ya Wagadi wakajitenga na kujiunga na Daudi katika ngome yake huko jangwani. Walikuwa mashujaa hodari, waliokuwa tayari kwa vita na wenye uwezo wa kutumia ngao na mkuki. Nyuso zao zilikuwa nyuso za simba na walikuwa na wepesi kama paa milimani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.