Native Bible

1 Chronicles 11:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adina mwana wa Shiza Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,

1 Chronicles 11:42 in English

1 Chronicles 11:42 · Berean Standard Bible

Adina son of Shiza the Reubenite, chief of the Reubenites, and the thirty with him,

Context

40Ira Mwithiri, Garebu Mwithiri, 41Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai, 42Adina mwana wa Shiza Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini, 43Hanani mwana wa Maaka, Yoshafati Mmithni, 44Uzia Mwashterathi, Shama na Yeieli wana wa Hothamu Mwaroeri,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.