Native Bible

Zephaniah 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu,

Zephaniah 2:1 in English

Zephaniah 2:1 · Berean Standard Bible

Gather yourselves, gather together, O shameful nation,

Context

1Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu, 2kabla ya wakati ulioamriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali ya Bwana haijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu ya Bwana haijaja juu yenu. 3Mtafuteni Bwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, ninyi ambao hufanya lile analoamuru. Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; labda mtahifadhiwa siku ya hasira ya Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.