Native Bible

Zephaniah 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wale wanaoacha kumfuata Bwana, wala hawamtafuti Bwana wala kutaka shauri lake.

Zephaniah 1:6 in English

Zephaniah 1:6 · Berean Standard Bible

and those who turn back from following the LORD, neither seeking the LORD nor inquiring of Him.”

Context

4“Nitaiadhibu Yuda na wote wakaao Yerusalemu. Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali kila mabaki ya Baali, majina ya wapagani na makuhani waabuduo sanamu: 5wale ambao husujudu juu ya mapaa kuabudu jeshi la vitu vya angani, wale ambao husujudu na kuapa kwa Bwana na ambao pia huapa kwa Malkamu, 6wale wanaoacha kumfuata Bwana, wala hawamtafuti Bwana wala kutaka shauri lake. 7Nyamazeni mbele za Bwana Mwenyezi, kwa maana siku ya Bwana iko karibu. Bwana ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika. 8Katika siku ya dhabihu ya Bwana nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.