Sefania 1:2
Zephaniah 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana asema, “Nitafagia kila kitu kutoka kwenye uso wa dunia.”
Zephaniah 1:2 in English
Zephaniah 1:2 · Berean Standard Bible
“I will completely sweep away everything from the face of the earth,” declares the LORD.
Context
1Neno la Bwana lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda: 2Bwana asema,
“Nitafagia kila kitu
kutoka kwenye uso wa dunia.” 3“Nitafagilia mbali watu na wanyama;
nitafagilia mbali ndege wa angani
na samaki wa baharini.
Wafanyao maovu watapata tu kokoto,
nami nitamkatilia mbali mwanadamu atoke katika dunia,”
asema Bwana. 4“Nitaiadhibu Yuda
na wote wakaao Yerusalemu.
Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali
kila mabaki ya Baali,
majina ya wapagani na makuhani
waabuduo sanamu:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.