Zekaria 2:7
Zechariah 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!”
Zechariah 2:7 in English
Zechariah 2:7 · Berean Standard Bible
“Get up, O Zion! Escape, you who dwell with the Daughter of Babylon!”
Context
5Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema Bwana, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’ 6“Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema Bwana, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema Bwana. 7“Njoo, ee Sayuni! Kimbia, wewe ukaaye ndani ya Binti Babeli!” 8Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Baada ya yeye kuniheshimu na kunituma mimi dhidi ya mataifa yaliyokuteka nyara, kwa kuwa yeyote awagusaye ninyi, anaigusa mboni ya jicho lake, 9hakika nitauinua mkono wangu dhidi yao ili watumwa wao wawateke nyara. Ndipo mtakapojua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.