Zekaria 2:2
Zechariah 2:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikamuuliza, “Unakwenda wapi?” Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.”
Zechariah 2:2 in English
Zechariah 2:2 · Berean Standard Bible
“Where are you going?” I asked. “To measure Jerusalem,” he replied, “and to determine its width and length.”
Context
1Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! 2Nikamuuliza, “Unakwenda wapi?”
Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.” 3Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye 4na kumwambia: “Kimbia, umwambie yule kijana, ‘Yerusalemu utakuwa mji usio na kuta kwa sababu ya wingi wa watu na mifugo iliyomo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.