Native Bible

Zechariah 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake!

Zechariah 2:1 in English

Zechariah 2:1 · Berean Standard Bible

Then I lifted up my eyes and saw a man with a measuring line in his hand.

Context

1Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake! 2Nikamuuliza, “Unakwenda wapi?” Akanijibu, “Kupima Yerusalemu, kupata urefu na upana wake.” 3Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.