Native Bible

Zechariah 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako!

Zechariah 11:1 in English

Zechariah 11:1 · Berean Standard Bible

Open your doors, O Lebanon, that the fire may consume your cedars!

Context

1Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! 2Piga yowe, ee mti wa msunobari, kwa kuwa mwerezi umeanguka; miti ya fahari imeharibiwa! Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, msitu mnene umefyekwa! 3Sikiliza yowe la wachungaji; malisho yao manono yameangamizwa! Sikia ngurumo za simba; kichaka kilichostawi sana cha Yordani kimeharibiwa!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.