Zekaria 10:12
Zechariah 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitawaimarisha katika Bwana, na katika jina lake watatembea,” asema Bwana.
Zechariah 10:12 in English
Zechariah 10:12 · Berean Standard Bible
I will strengthen them in the LORD, and in His name they will walk,” declares the LORD.
Context
10Nitawarudisha kutoka Misri
na kuwakusanya toka Ashuru.
Nitawaleta katika nchi ya Gileadi na Lebanoni,
na hapo hapatakuwa na nafasi ya kuwatosha. 11Watapita katika bahari ya mateso;
bahari iliyochafuka itatulizwa
na vilindi vyote vya Mto Naili vitakauka.
Kiburi cha Ashuru kitashushwa,
nayo fimbo ya utawala ya Misri itatoweka. 12Nitawaimarisha katika Bwana,
na katika jina lake watatembea,”
asema Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.