Native Bible

Titus 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,

Titus 3:4 in English

Titus 3:4 · Berean Standard Bible

But when the kindness of God our Savior and His love for mankind appeared,

Context

2Wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote. 3Maana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu na wivu, tukichukiwa na kuchukiana sisi kwa sisi. 4Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa, 5alituokoa, si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya rehema zake. Alituokoa kwa kutuosha kwa kuzaliwa mara ya pili na kwa kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu, 6ambaye Mungu alitumiminia kwa wingi kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.