Native Bible

Titus 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Inakupasa kufundisha itikadi sahihi.

Titus 2:1 in English

Titus 2:1 · Berean Standard Bible

But as for you, speak the things that are consistent with sound doctrine.

Context

1Inakupasa kufundisha itikadi sahihi. 2Wafundishe wazee kuwa na kiasi, wastahivu, wenye busara na wanyofu katika imani, upendo na saburi. 3Vivyo hivyo, wafundishe wanawake wazee kuwa na mwenendo wa utakatifu, wala wasiwe wasingiziaji au walevi, bali wafundishe yale yaliyo mema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.