Native Bible

Song of Songs 8:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ukaaye bustanini pamoja na marafiki mliohudhuria, hebu nisikie sauti yako!

Song of Songs 8:13 in English

Song of Songs 8:13 · Berean Standard Bible

You who dwell in the gardens, my companions are listening for your voice. Let me hear it!

Context

11Solomoni alikuwa na shamba la mizabibu huko Baal-Hamoni; alikodisha shamba lake la mizabibu kwa wapangaji. Kila mmoja angeleta kwa ajili ya matunda yake shekeli 1,000* za fedha. 12Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Solomoni, na shekeli mia mbili* ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake. 13Wewe ukaaye bustanini pamoja na marafiki mliohudhuria, hebu nisikie sauti yako! 14Njoo, mpenzi wangu, uwe kama swala au kama ayala kijana juu ya milima iliyojaa vikolezo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.