Native Bible

Song of Songs 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uyageuze macho yako mbali nami, yananigharikisha. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi wanaoteremka kutoka Gileadi.

Song of Songs 6:5 in English

Song of Songs 6:5 · Berean Standard Bible

Turn your eyes away from me, for they have overcome me. Your hair is like a flock of goats streaming down from Gilead.

Context

3Mimi ni wake mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu; yeye hujilisha katikati ya yungiyungi. 4Wewe ni mzuri, mpenzi wangu, kama Tirsa, upendezaye kama Yerusalemu, umetukuka kama jeshi lenye bendera. 5Uyageuze macho yako mbali nami, yananigharikisha. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi wanaoteremka kutoka Gileadi. 6Meno yako ni kama kundi la kondoo watokao kuogeshwa. Kila mmoja ana pacha lake, hakuna hata mmoja aliye peke yake. 7Mashavu yako nyuma ya shela yako ni kama vipande viwili vya komamanga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.