Wimbo 1:16
Song of Songs 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Ee, tazama jinsi unavyopendeza! Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.
Song of Songs 1:16 in English
Song of Songs 1:16 · Berean Standard Bible
How handsome you are, my beloved! Oh, how delightful! The soft grass is our bed.
Context
14Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina
kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi. 15Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!
Tazama jinsi ulivyo mzuri!
Macho yako ni kama ya hua. 16Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!
Ee, tazama jinsi unavyopendeza!
Na kitanda chetu ni cha majani mazuri. 17Nguzo za nyumba yetu ni mierezi,
na mapao yetu ni miberoshi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.