Native Bible

Song of Songs 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi.

Song of Songs 1:14 in English

Song of Songs 1:14 · Berean Standard Bible

My beloved is to me a cluster of henna blossoms in the vineyards of En-gedi.

Context

12Wakati mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri. 13Mpenzi wangu kwangu mimi ni kifuko cha manemane kati ya matiti yangu. 14Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya mhina kutoka mashamba ya mizabibu ya En-Gedi. 15Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Tazama jinsi ulivyo mzuri! Macho yako ni kama ya hua. 16Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu! Ee, tazama jinsi unavyopendeza! Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.