Native Bible

Romans 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana tunajua kwamba Kristo, kwa sababu alifufuliwa kutoka kwa wafu, hawezi kufa tena; mauti haina tena mamlaka juu yake.

Romans 6:9 in English

Romans 6:9 · Berean Standard Bible

For we know that since Christ was raised from the dead, He cannot die again; death no longer has dominion over Him.

Context

7Kwa maana mtu yeyote aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi. 8Basi ikiwa tulikufa pamoja na Kristo, tunaamini kwamba pia tutaishi pamoja naye. 9Kwa maana tunajua kwamba Kristo, kwa sababu alifufuliwa kutoka kwa wafu, hawezi kufa tena; mauti haina tena mamlaka juu yake. 10Kifo alichokufa, aliifia dhambi mara moja tu, lakini uzima alio nao anamwishia Mungu. 11Vivyo hivyo, jihesabuni wafu katika dhambi lakini mlio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.