Native Bible

Romans 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana mtu yeyote aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.

Romans 6:7 in English

Romans 6:7 · Berean Standard Bible

For anyone who has died has been freed from sin.

Context

5Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake. 6Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye ili ule mwili wa dhambi upate kuangamizwa, nasi tusiendelee kuwa tena watumwa wa dhambi. 7Kwa maana mtu yeyote aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi. 8Basi ikiwa tulikufa pamoja na Kristo, tunaamini kwamba pia tutaishi pamoja naye. 9Kwa maana tunajua kwamba Kristo, kwa sababu alifufuliwa kutoka kwa wafu, hawezi kufa tena; mauti haina tena mamlaka juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.