Native Bible

Romans 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,

Romans 3:23 in English

Romans 3:23 · Berean Standard Bible

for all have sinned and fall short of the glory of God,

Context

21Lakini sasa, haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Sheria na Manabii wanaishuhudia. 22Haki hii itokayo kwa Mungu hupatikana kwa Yesu Kristo kwa wote wamwaminio. Kwa maana hapo hakuna tofauti, 23kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, 24wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu. 25Yeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.