Native Bible

Romans 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Au kuna thamani gani katika tohara?

Romans 3:1 in English

Romans 3:1 · Berean Standard Bible

What, then, is the advantage of being a Jew? Or what is the value of circumcision?

Context

1Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Au kuna thamani gani katika tohara? 2Kuna faida kubwa kwa kila namna! Kwanza kabisa, Wayahudi wamekabidhiwa lile Neno halisi la Mungu. 3Ingekuwaje kama wengine hawakuwa na imani? Je, kutokuamini kwao kungebatilisha uaminifu wa Mungu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.