Native Bible

Romans 16:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasalimuni Prisila* na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu.

Romans 16:3 in English

Romans 16:3 · Berean Standard Bible

Greet Prisca * and Aquila, my fellow workers in Christ Jesus,

Context

1Napenda kumtambulisha kwenu dada yetu Foibe, mtumishi katika kanisa la Kenkrea. 2Naomba mpokeeni katika Bwana ipasavyo watakatifu na kumpa msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, kwa maana yeye amekuwa msaada kwa watu wengi, mimi nikiwa miongoni mwao. 3Wasalimuni Prisila* na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu. 4Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makanisa yote ya watu wa Mataifa. 5Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.