Warumi 16:1
Romans 16:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Napenda kumtambulisha kwenu dada yetu Foibe, mtumishi katika kanisa la Kenkrea.
Romans 16:1 in English
Romans 16:1 · Berean Standard Bible
I commend to you our sister Phoebe, a servant * of the church in Cenchrea.
Context
1Napenda kumtambulisha kwenu dada yetu Foibe, mtumishi katika kanisa la Kenkrea. 2Naomba mpokeeni katika Bwana ipasavyo watakatifu na kumpa msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, kwa maana yeye amekuwa msaada kwa watu wengi, mimi nikiwa miongoni mwao. 3Wasalimuni Prisila* na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.