Warumi 12:21
Romans 12:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Romans 12:21 in English
Romans 12:21 · Berean Standard Bible
Do not be overcome by evil, but overcome evil with good.
Context
19Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana. 20Badala yake:
“Kama adui yako ana njaa, mlishe;
kama ana kiu, mpe kinywaji.
Kwa kufanya hivyo,
unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.” 21Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.