Native Bible

Romans 11:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana kama Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, wala hatakuhurumia wewe.

Romans 11:21 in English

Romans 11:21 · Berean Standard Bible

For if God did not spare the natural branches, He will certainly not * spare you either.

Context

19Basi utasema, “Matawi yale yalikatwa ili nipate kupandikizwa katika hilo shina.” 20Hii ni kweli. Matawi hayo yalikatwa kwa sababu ya kutokuamini kwake, lakini wewe umesimama tu kwa sababu ya imani. Kwa hiyo usijivune, bali simama kwa kuogopa. 21Kwa maana kama Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, wala hatakuhurumia wewe. 22Angalia basi wema na ukali wa Mungu: Kwa wale walioanguka, ukali, bali kwako wewe wema wa Mungu, kama utadumu katika wema wake. La sivyo, nawe utakatiliwa mbali. 23Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.