Warumi 11:14
Romans 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili kuwafanya watu wangu waone wivu na hivyo kuwaokoa baadhi yao.
Romans 11:14 in English
Romans 11:14 · Berean Standard Bible
in the hope that I may provoke my own people to jealousy and save some of them.
Context
12Basi ikiwa kukosa kwao kumekuwa utajiri mkubwa kwa ulimwengu, tena kama kuangamia kwao kumeleta utajiri kwa watu wa Mataifa, kurudishwa kwao kutaleta utajiri mkuu zaidi. 13Sasa ninasema nanyi watu wa Mataifa. Maadamu mimi ni mtume kwa watu wa Mataifa, naitukuza huduma yangu 14ili kuwafanya watu wangu waone wivu na hivyo kuwaokoa baadhi yao. 15Kwa kuwa ikiwa kukataliwa kwao ni kupatanishwa kwa ulimwengu, kukubaliwa kwao si kutakuwa ni uhai baada ya kufa? 16Kama sehemu ya donge la unga uliotolewa kuwa limbuko ni mtakatifu, basi unga wote ni mtakatifu, nalo shina kama ni takatifu, vivyo hivyo na matawi nayo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.