Ufunuo 8:6
Revelation 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga.
Revelation 8:6 in English
Revelation 8:6 · Berean Standard Bible
And the seven angels with the seven trumpets prepared to sound them.
Context
4Ule moshi wa uvumba pamoja na yale maombi ya watakatifu, vikapanda juu mbele za Mungu, kutoka mkononi mwa huyo malaika. 5Kisha yule malaika akachukua kile chetezo, akakijaza moto kutoka kwa yale madhabahu, akautupa juu ya dunia. Pakatokea sauti za radi, ngurumo, umeme wa radi na tetemeko la ardhi. 6Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga. 7Malaika wa kwanza akaipiga tarumbeta yake, pakatokea mvua ya mawe na moto uliochanganyika na damu, navyo vikatupwa kwa nguvu juu ya nchi. Na theluthi ya dunia ikateketea, theluthi ya miti ikateketea, na nyasi yote mbichi ikateketea. 8Malaika wa pili akaipiga tarumbeta yake na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto kikatupwa baharini. Theluthi ya bahari ikawa damu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.