Ufunuo 2:28
Revelation 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
Revelation 2:28 in English
Revelation 2:28 · Berean Standard Bible
And I will give him the morning star.
Context
26“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa: 27“ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma,
atawavunja vipande vipande
kama chombo cha udongo’:
kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu. 28Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi. 29Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.