Zaburi 98:1
Psalms 98:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu; kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu umemfanyia wokovu.
Psalms 98:1 in English
Psalms 98:1 · Berean Standard Bible
Sing to the LORD a new song, for He has done wonders; His right hand and holy arm have gained Him the victory.
Context
1Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
kwa maana ametenda mambo ya ajabu;
kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu
umemfanyia wokovu. 2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane
na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 3Ameukumbuka upendo wake
na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli;
miisho yote ya dunia imeuona
wokovu wa Mungu wetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.