Zaburi 97:4
Psalms 97:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeme wake wa radi humulika dunia, nchi huona na kutetemeka.
Psalms 97:4 in English
Psalms 97:4 · Berean Standard Bible
His lightning illuminates the world; the earth sees and trembles.
Context
2Mawingu na giza nene vinamzunguka,
haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi. 3Moto hutangulia mbele zake
na huteketeza adui zake pande zote. 4Umeme wake wa radi humulika dunia,
nchi huona na kutetemeka. 5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana,
mbele za Bwana wa dunia yote. 6Mbingu zinatangaza haki yake,
na mataifa yote huona utukufu wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.