Zaburi 96:2
Psalms 96:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwimbieni Bwana, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Psalms 96:2 in English
Psalms 96:2 · Berean Standard Bible
Sing to the LORD, bless His name; proclaim His salvation day after day.
Context
1Mwimbieni Bwana wimbo mpya;
mwimbieni Bwana dunia yote. 2Mwimbieni Bwana, lisifuni jina lake;
tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 3Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa,
matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 4Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote;
yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.