Native Bible

Psalms 96:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni Bwana wimbo mpya; mwimbieni Bwana dunia yote.

Psalms 96:1 in English

Psalms 96:1 · Berean Standard Bible

Sing to the LORD a new song; sing to the LORD, all the earth.

Context

1Mwimbieni Bwana wimbo mpya; mwimbieni Bwana dunia yote. 2Mwimbieni Bwana, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. 3Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.