Native Bible

Psalms 93:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwako tangu milele.

Psalms 93:2 in English

Psalms 93:2 · Berean Standard Bible

Your throne was established long ago; You are from all eternity.

Context

1Bwana anatawala, amejivika utukufu; Bwana amejivika utukufu tena amejivika nguvu. Dunia imewekwa imara, haitaondoshwa. 2Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwako tangu milele. 3Bahari zimeinua, Ee Bwana, bahari zimeinua sauti zake; bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 4Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: Bwana aishiye juu sana ni mkuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.