Native Bible

Psalms 85:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliweka kando ghadhabu yako yote na umegeuka na kuiacha hasira yako kali.

Psalms 85:3 in English

Psalms 85:3 · Berean Standard Bible

You withheld all Your fury; You turned from Your burning anger.

Context

1Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako. Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.* 2Ulisamehe uovu wa watu wako, na kufunika dhambi zao zote. 3Uliweka kando ghadhabu yako yote na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 4Ee Mungu Mwokozi wetu, uturejeshe tena, nawe uiondoe chuki yako juu yetu. 5Je, utatukasirikia milele? Utaendeleza hasira yako kwa vizazi vyote?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.