Zaburi 84:12
Psalms 84:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.
Psalms 84:12 in English
Psalms 84:12 · Berean Standard Bible
O LORD of Hosts, how blessed is the man who trusts in You!
Context
10Siku moja katika nyua zako ni bora
kuliko siku elfu mahali pengine;
afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu
kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao,
Bwana hutoa wema na heshima;
hakuna kitu chema anachowanyima
wale ambao hawana hatia. 12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote,
heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.