Zaburi 73:17
Psalms 73:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.
Psalms 73:17 in English
Psalms 73:17 · Berean Standard Bible
until I entered God’s sanctuary; then I discerned their end.
Context
15Kama ningesema, “Nitasema hivi,”
ningelikuwa nimewasaliti watoto wako. 16Nilipojaribu kuelewa haya yote,
yalikuwa magumu kwangu kuelewa. 17Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu,
ndipo nilipotambua mwisho wao. 18Hakika unawaweka mahali pa utelezi,
unawaangusha chini kwa uharibifu. 19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula,
wanatoweshwa kabisa na vitisho!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.