Native Bible

Psalms 70:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee Bwana, usikawie.

Psalms 70:5 in English

Psalms 70:5 · Berean Standard Bible

But I am poor and needy; hurry to me, O God. You are my help and my deliverer; O LORD, do not delay.

Context

3Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao. 4Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Mungu na atukuzwe!” 5Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee Bwana, usikawie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.