Native Bible

Psalms 69:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, aibu imefunika uso wangu.

Psalms 69:7 in English

Psalms 69:7 · Berean Standard Bible

For I have endured scorn for Your sake, and shame has covered my face.

Context

5Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala hatia yangu haikufichika kwako. 6Ee Bwana, ewe Bwana Mwenye Nguvu Zote, wakutumainio wasiaibishwe kwa ajili yangu; wakutafutao wasifedheheshwe kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli. 7Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, aibu imefunika uso wangu. 8Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe. 9Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.