Native Bible

Psalms 65:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.

Psalms 65:13 in English

Psalms 65:13 · Berean Standard Bible

The pastures are clothed with flocks, and the valleys are decked with grain. They shout in triumph; indeed, they sing.

Context

11Umeuvika mwaka taji ya baraka, magari yako yanafurika kwa wingi. 12Mbuga za majani za jangwani umezineemesha; vilima vimevikwa furaha. 13Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.