Zaburi 60:4
Psalms 60:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde.
Psalms 60:4 in English
Psalms 60:4 · Berean Standard Bible
You have raised a banner for those who fear You, that they may flee the bow.* Selah
Context
2Umetetemesha nchi na kuipasua;
uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka. 3Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa;
umetunywesha mvinyo unaotuyumbisha. 4Kwa wale wanaokucha wewe,
umewainulia bendera,
ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde. 5Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume,
ili wale uwapendao wapate kuokolewa. 6Mungu amenena kutoka patakatifu pake:
“Nitaigawa Shekemu kwa ushindi
na kulipima Bonde la Sukothi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.