Zaburi 59:8
Psalms 59:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wewe, Bwana, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote.
Psalms 59:8 in English
Psalms 59:8 · Berean Standard Bible
But You, O LORD, laugh at them; You scoff at all the nations.
Context
6Hurudi wakati wa jioni,
wakibweka kama mbwa,
wakiuzurura mji. 7Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao,
hutema upanga kutoka midomo yao,
nao husema, “Ni nani atakayetusikia?” 8Lakini wewe, Bwana, uwacheke;
unayadharau mataifa hayo yote. 9Ee nguvu yangu, ninakutazama wewe,
wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, 10Mungu wangu unipendaye.
Mungu atanitangulia,
naye atanifanya niwachekelee
wale wanaonisingizia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.