Zaburi 58:9
Psalms 58:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali.
Psalms 58:9 in English
Psalms 58:9 · Berean Standard Bible
Before your pots can feel the burning thorns— whether green or dry— He will sweep them away.
Context
7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi,
wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu. 8Kama konokono ayeyukavyo akitembea,
kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu,
wasilione jua. 9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba,
zikiwa mbichi au kavu,
waovu watakuwa
wamefagiliwa mbali. 10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi,
watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 11Ndipo wanadamu watasema,
“Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu,
hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.