Zaburi 4:1
Psalms 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Nipumzishe katika shida zangu; nirehemu, usikie ombi langu.
Psalms 4:1 in English
Psalms 4:1 · Berean Standard Bible
Answer me when I call, O God of my righteousness! You have relieved my distress; show me grace and hear my prayer.
Context
1Nijibu nikuitapo,
Ee Mungu wangu mwenye haki!
Nipumzishe katika shida zangu;
nirehemu, usikie ombi langu. 2Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu
kuwa aibu mpaka lini?
Mtapenda udanganyifu
na kufuata miungu ya uongo mpaka lini? 3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga
wale wamchao kwa ajili yake;
Bwana atanisikia nimwitapo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.