Native Bible

Psalms 35:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.

Psalms 35:28 in English

Psalms 35:28 · Berean Standard Bible

Then my tongue will proclaim Your righteousness and Your praises all day long.

Context

26Wote wanaofurahia dhiki yangu waaibishwe na wachanganyikiwe; hao wanaojiinua dhidi yangu wavikwe aibu na dharau. 27Wale wanaofurahia hukumu yangu ya haki wapige kelele za shangwe na furaha; hebu waseme siku zote, “Bwana atukuzwe, ambaye amefurahia mafanikio ya mtumishi wake.” 28Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.