Native Bible

Psalms 32:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.

Psalms 32:1 in English

Psalms 32:1 · Berean Standard Bible

Blessed is he whose transgressions are forgiven, whose sins are covered.*

Context

1Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa. 2Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu. 3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.