Native Bible

Psalms 146:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake,

Psalms 146:5 in English

Psalms 146:5 · Berean Standard Bible

Blessed is he whose help is the God of Jacob, whose hope is in the LORD his God,

Context

3Usiweke tumaini lako kwa wakuu, kwa wanadamu ambao hufa, ambao hawawezi kuokoa. 4Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. 5Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake, 6Muumba wa mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo ndani yake: Bwana anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele. 7Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. Bwana huwaweka wafungwa huru,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.