Zaburi 144:4
Psalms 144:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanadamu ni kama pumzi, siku zake ni kama kivuli kinachopita.
Psalms 144:4 in English
Psalms 144:4 · Berean Standard Bible
Man is like a breath; his days are like a passing shadow.
Context
2Yeye ni Mungu wangu wa upendo na boma langu,
ngome yangu na mwokozi wangu,
ngao yangu ninayemkimbilia,
ambaye huwatiisha mataifa chini yangu. 3Ee Bwana, mwanadamu ni nini hata umjali,
Binadamu ni nini hata umfikirie? 4Mwanadamu ni kama pumzi,
siku zake ni kama kivuli kinachopita. 5Ee Bwana, pasua mbingu zako, ushuke,
gusa milima ili itoe moshi. 6Peleka umeme uwatawanye adui,
lenga mishale yako uwashinde.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.