Zaburi 144:1
Psalms 144:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sifa ni kwa Bwana Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, na vidole vyangu kupigana.
Psalms 144:1 in English
Psalms 144:1 · Berean Standard Bible
Blessed be the LORD, my Rock, who trains my hands for war, my fingers for battle.
Context
1Sifa ni kwa Bwana Mwamba wangu,
aifundishaye mikono yangu vita,
na vidole vyangu kupigana. 2Yeye ni Mungu wangu wa upendo na boma langu,
ngome yangu na mwokozi wangu,
ngao yangu ninayemkimbilia,
ambaye huwatiisha mataifa chini yangu. 3Ee Bwana, mwanadamu ni nini hata umjali,
Binadamu ni nini hata umfikirie?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.