Native Bible

Psalms 14:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, bali Bwana ndiye kimbilio lao.

Psalms 14:6 in English

Psalms 14:6 · Berean Standard Bible

You sinners frustrate the plans of the oppressed, yet the LORD is their shelter.

Context

4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti Bwana? 5Wako hapo, wameingiwa na hofu kuu, maana Mungu yupo pamoja na wenye haki. 6Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, bali Bwana ndiye kimbilio lao. 7Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati Bwana arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.