Native Bible

Psalms 136:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele.

Psalms 136:15 in English

Psalms 136:15 · Berean Standard Bible

but swept * Pharaoh and his army into the Red Sea. His loving devotion endures forever.

Context

13Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. 14Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele. 15Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. 16Kwake yeye aliyewaongoza watu wake katika jangwa, Fadhili zake zadumu milele. 17Ambaye aliwapiga wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.